Baada ya Siku mbili tatu Diamond Platnumz kuandamwa na vyombo vya habari kwamba anamtumia bibie wema sepetu kibiashara huku akiwa hajaonyes...
Baada ya uhusiano wa Diamond na Wema kuingia katika misukosuko na Diamond kutoa ujumbe mzito kumhusu wema sepetu, mchekeshaj maarufu hapa b...
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
KAMA HUKUWAHI KUONA PICHA ZA MAHALI ANAPOISHI WEMA SEPETU, INGIA HAPA...NI BALAA
Lisebule heheyaaaaa Maishallah hongera Tenaaaa Mmeona eeeh Wema,Zamaradi na Snura Shurti ...
JE HII ADHABU NI SAWA USIACHE KUTOA MAONI YAKO HAPA.... USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
Baadhi ya watuhumuiwa wa kiume waliokamatwa kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya ‘unga’.
Hivi karibuni, serikali ilikiri kukamatwa kwa Wabongo hao nje ya nchi na kusema baadhi yao wanasubiri kunyongwa baada ya kupatikana na hatia. Hata hivyo, serikali ilificha majina ya watu hao.
Ifuatayo ni orodha ya majina hayo na maeneo wanayotoka nchini Tanzania. Kwenye mabano ni hukumu zao.
Abdallah Ally Rashid Mbonde Fredue, Dar (miaka 15 jela), Mzia David Michael, Dar (22), Rashid Mzonge, Magomeni, Dar (maisha), Salum Jumbe Pigigi (maisha), Ramadhan Iddi Juma, Kinondoni, Dar (7), Saleh Happy Hambona, Dar (18), Michael Dalasi Taraja, Temeke, Dar (19) na Juma Omar Mgeni (kunyongwa).
Wengine ni Masumbuko Salum Hassan, Dar (kunyongwa), Luka Joseph Urio, Dar (maisha), Masome Frorian Anthony, Dar (maisha), Salum Mohammed Kitupura, Dar (kunyongwa), Begge Hemed Ahmed, Tanga (15) na Mwanjati James Simon, Dar (maisha).
Wengine ni Mohammed Musa Mohammed, Dar (maisha), Omalla Donald Nyowino, Dar (15), Yahya Ally Seif, Kinondoni, Dar (maisha), Chande Mohammed Chande, Kinondoni, Dar (maisha), John James Amandus, Kinondoni, Dar (kunyongwa), Bantulaki Isihaka Ally, Tanga (kunyongwa), Zungiza Mohamed Ally, Dar (kunyongwa), Rashid Bakari Mzonge, Kimara Suka, Dar (maisha), Mende Katija Mikidadi, Ilala, Dar (maisha), Shame Shame Udai, Dar (maisha) na Mlenzi Mangala Hamisi, Dar (maisha).
Baadhi ya watuhumuiwa wa kike waliokamatwa kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya ‘unga’. Farida Sarboko Makarani, Zanzibar (kunyongwa), Adam Hariri Mohammed, Magomeni, Dar (18), Said Mfaume Said, hajatajwa wa wapi (kunyongwa), Mohammed Bakari Mkemi, haijatajwa wa wapi (kunyongwa), Mariam Ramadhan Mahimbo, hajatajwa wa wapi (kunyongwa), Julieth Jonathan Jaspher, haikusemwa anakotoka (kunyongwa), Halifa Matumla Ally, haijaandikwa atokako (kunyongwa), Rajabu Salum Mwanyenza, haijaandikwa atokako (kunyongwa), Ismail Mohammed Rajabu Mapusa, Magomeni Dar (maisha) na Hamisi Kombo Ally (kunyongwa).
Waliopo mbaroni ambao pia hawajaandikwa watokako ni: Sephu Abdulrahman, Alfredy Thomas Singini, Lawrence Mbogoni Oni, Mohammed Ibrahimu Kilima, Wilfred Casmir Mushi, Shakira Ahmed Mumba, Jackline Benedict, Rajabu Rashidi Mshare, John Peter Martin, Abdallah Mwalimu Mbaruk, Rashid Mzee Mrisho, Juma Ismail Nayopa, Tsakiris Costa Achelis na Faith Michael Kabambe.
Wengine waliohukumiwa ni Bakari Badi Omari Mneko, Sinza, Dar (17), Masomi Thomas Joseph, Dar (17), Abdallah Iddi Ally, Tabata, Dar (17), Kondo Ally Mohammed (20), Mohammed Abubakar Nazzir (24), Abdallah Anwar Abasi (24), Makuti Al- Jaribu Hassan, Kilwa, Lindi (25), Abdallah Iddi Athuman (24), Mnyamani Hamad Ally, Tanga (22), Mtalu Rajabu Ally Rajabu, Kariakoo, Dar (17) na Shughuli Kibaya Bakari, Tanga (8).
Wengine ni Mfaume Omar Ng’anzi Msuya, Kariakoo, Dar (21), Steven Robert Onay (9), Omar Juma Mang’enge (8), Steven Simon Kanul, Dar (8), Iddi Haji Fumo, Unguja (9) na Seleman Hamisi, Unguja (8).
Pia wapo Athuman Hassan Nash, Magomeni, Dar (8), Seleman Hussein Msimbe (8), Abdallah Farid Twalib, Dar (17), Salim Ally Amani, haikutajwa anakotoka (22), Calist Wilson Mosha, Arusha (18) na Saleh Abdul Omar, Kigogo, Dar (21).
Wengine ni Bugingo Sweetbert Rwezaura, Kijitonyama, Dar (21), Mohammed Omari Ally, Zanzibar (19), Sayula Rashid Paul, hajatajwa atokako (16), Koshuma Geofrey Gabriel, Kijitonyama, Dar (30) na Salim Mrisho Hussein, Tanga (21).
Orodha inaendelea kama ifuatavyo: Riziki Riziki Hamduni, Kinondoni, Dar (19), Bashir Rajabu Kafune, Magomeni, Dar (19), Kharim Mohammed Omar, Ilala, Dar (19), Abubakar Abdul Ligalwike, Kinondoni, Dar (8).
Wengine waliofungwa na miaka yao katika mabano ni Pendo Ernest Kessy, Ilala, Dar (9), Anna Kiula, Kijitonyama, Dar (9), Nuru Shebe Maftah, Mwananyamala, Dar (9), Fatma Rashid, Dar (9) na Naima Abdulhafidh Rashid, Mwananyamala, Dar (9).
Pia wapo Mariam Madaresa, Arusha na Dar (9), Mohammed Omar Ally, Wete, Zanzibar (19), Faidhi Mohammed Abdallah, Kijitonyama, Dar (14), Mohammed Ijumaa Rashid, Mbezi Beach, Dar (10), Omari Musa Abdallah, Tanga (10), Zahra Ayubu Mwila, Korogwe na Kibaha (25) na Shamsa Gulum Shambe, Magomeni Mwembechai, Dar (16).
Wengine waliopo mbaroni ni Jeniffer Kessy, Mwananyamala, Dar, Shadia Issa, Mbezi Beach, Dar, Rosemary Asakwe Kionaumela, Mapipa, Dar na Samir Sandra Khalid.
Orodha ya waliohukumiwa inaendelea: Tatiana Bakari Chambo, Temeke, Dar (11), Ramadhan Maneno Mtumwa, Kijitonyama, Dar (14), Yusuf Herold John, Magomeni (18), Hassan Hiza Sebudu, Tanga (22), Halfa Abdallah Ng’anga, Ilala, Dar (19) na Nelson Anthony Dhinner, Kigogo, Dar (14).
Wengine waliohukumiwa ni Awadh Salehe Awadh, Kinondoni, Dar (24), Hasim Paul Syula, Mapipa, Dar (16), Fussy Abdu Mussa, haijatajwa anakotokea (17), Mtwanzi Carlos Adam, haijatwaja anakotoka (17) na Yusuf Abbas Kilima, Dar (5).
Wafuatao wametiwa mbaroni; Salum Mhibu Mkwawira, Tunduma, Mbeya, Juma Musa Juma wa Zanzibar, Nassor Mohammed Ayub wa Tanga, Jimmy Joseph Kivelege wa Dar, Kilugage Joram Masembo wa Kahama, Shinyanga, Manengelo Abdurahman wa Dar na Hamud Ali Mohammed (mji haukutajwa).
Wengine ni Eric Charles Mkude wa Tanga, Makame Khatibu Ali wa Kiembesamaki, Zanzibar, Abdulwahid Hamisi Mashauzi wa Singida, Said Ally Makame wa Zanzibar, Peter George Gyellah wa Tegeta, Dar, Said Abdallah Mzee wa Dar na Yusuf Chombo Khalid wa Dar.
Wafuatao wamehukumiwa na miaka yao kwenye mabano; Salehe Mohammed Aboubakar, Tanga (20), Abdul Omar Salehe, Dar (14), Omari Hussein Ally, Tanga (14), Kaliro Samson Majani Busagaga, Tarime, Mara (9), Mohammed Salum Mbaraka, Moshi, Kilimanjaro (9), Zuberi Musa Zuberi, Zanzibar na Dar (9), Adam Athumani Udindo (alikataa kutaja anakotoka, 14).
Wafuatao pia wapo mahabusu katika nchui mbalimbali, kesi zinaendelea; Frank Thomas Frank (Moshi), Nasra Hassani Masogoa (Dar), Nice Saidi Mbwana (Tanga na Dar), Josephine Raymond Malibanga (hakutaja atokako), Sara Yuga Mtinda (Singida), Amina Khamisi Bwanga (hakutaja atokako), Flora Frederick Siyame (Dar) na Zawadi Aloyce Henjewele (Songea).
Wengine ni Upendo Eric Shayo wa Moshi, Mariam Haruna Feruzi (Dar), Yusta Riwa (Moshi Kilimanjaro), Watende Sudi Kiwamba (Tabora), Elizabeth Yoram Kwambaza (Korogwe, Tanga), Mariam Shabibi (Dar) na Zahoro Mohammed Nassoro (Tanga).
Wengine waliokamatwa na wako mahabusu ni Rashid Nassoro Maumba (Mpanda), Mohamed Said Mrisho (Tanga), Suleiman Said Mpetula (Dar), Shaban Salum Mnyimani (Dar), Abood Yasser Ali (Tanga), Juma Shabani Ngoma (Tanga), Juma Akida Yusufu (Tanga) na Miraji Yusufu Semahimbo (Tanga).
Wengine ni James Christopher Lukio (Tanga na Dar), Rabin Issa Mbaba (Mafia), Abdallah Rajabu Dole (Dar), James Sakaya Henry (Dar), Bakari Kheri Nassoro (Dar), Faraji Juma Lota (Dar), Gervas Anselm Muganda Matura (Musoma), Rawe Waikama Magarya (Tarime) na Abdulraheem Sadiki Mohamed (Dar).
Wafuatao wamehukumiwa na miaka yao kwenye mabano ila miji waliyotoka Bongo haikutajwa; Rashid Habib Muhsin (9), Abdallah Saidi (16), Hiridi Mamdadi Issa (12), Juma Mohammed Mapande (16), Mwatadi Kulwa Hamisi (16), Hamisi Abdallah Mohammed (9), Erick John Ibrahim (16) na Abdallah Farid Salum (9).
Thuweni Hamadi Suleiman, Kileo Walter Exaudy na Jacqueline Clifford Fitzpatricque (Jack Patrick) hawa bado hawajahukumiwa.
IDADI YA NCHI
Katika orodha hiyo, China wapo Wabongo 65, Brazil 108, Kenya 34, Hong Kong 118, Pakistan 16, Falme za Kiarabu 12, Japan 7, Morihsaz 6, Uingereza 5, Malawi 5, Uganda 4, Oman 3, Uswisi 2, Italia 2, Marekani 2, Argentina 2, Uturuki 1, Ureno 1, Botswana 5, Chile 1, Afrika Kusini 3 na Msumbiji 1.
paparazi aliongea na Kaimu Kamishna wa Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya, Aida Tesha (pichani) kuhusu kukamatwa kwa watu hao ambapo alikiri na kusema kuwa serikali inaendelea kufuatilia takwimu za Watanzania wengine ambao wamekamatwa nje ya nchi.
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
MAJINA 403 YA WATANZANIA WALIOKAMATWA NA KUFUNGWA NJE BAADA YA KUNASWA NA MADAWA YA KULEVYA
Paparazi limeyanasa majina 403 ya Watanzania waliokamatwa, kufungwa au kushikiliwa katika magereza mbalimbali duniani kwa makosa ya madaw...

USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
Staa wa Bongo Fleva, Meninah Abdukareem ‘Ladiva’
Kama kawaida, wiki iliyopita tulimleta kwenu staa wa Bongo Fleva, Meninah Abdukareem ‘Ladiva’ ambapo mlituma maswali yenu na leo haya ndiyo majibu yake, UNGANA NAYE...
RUSHWA YA NGONO BSS
Meninah kwanza nakupa big up kwa utulivu ulionao mpaka sasa, je, kwenye mchujo wa kupata mshindi wa BSS (Bongo Star Search), eti kuna rushwa ya ngono na fedha? John Ipembe, Shinyanga, 0713554815
MENINAH: Asante, BSS hakuna kitu kama hicho.
ANAOMBA NAFASI
Meninah nimekufuatilia muda mrefu, nimeona ni msichana mtulivu, naomba nafasi niwe mtu wako. Muddy Madiley, 0652672805
MENINAH: Bado muda sijaamua kuwa kwenye uhusiano ila nashukuru kwa kunifuatilia.
MPANGO WA KUOLEWA
Pongezi nyingi kwako dada Meninah kwa kufanya vizuri katika gemu ila napenda kujua una mpango wa kuolewa? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
MENINAH: Asante kwa pongezi, mpango wa kuolewa kwa sasa bado kama nitakuwa nao nitawaambia.
Meninah akihojiwa na mtangazaji wa global TV Online, Pamela Daffa.
HUYU ANATAKA KUJUA
Eti Meninah wewe ni mwenyeji wa mkoa gani na mbali na muziki unajishughulisha na nini? Salim Liundi, Dar, 0659601205
MENINAH: Mimi ni mwenyeji wa Dar, tofauti na muziki nafanya shughuli za kibiashara, nafanya kazi kwenye media house (chumba cha habari) moja hivi pia ninasoma.
MAFANIKIO
Eti dada umepata mafanikio gani kwenye muziki? Mama Daud, 0716692880
MENINAH: Nimepata fursa nyingi na kuonana na watu muhimu, nimevuka boda pia nimenunua gari kwa kupitia fedha nilizopata kwenye muziki.
HUYU ANAHOJI
Meninah ni kweli mama yako ni Mhaya na anaitwa Eva na kama ndivyo hilo jina la Abdukareem limetoka wapi? Noel Mushi, Moshi, 0714300280
MENINAH: Mama yangu siyo Mhaya ni Mhehe, jina la Abdukareem ni la baba yangu.
Dada naomba namba yako ya simu tuwe tunawasiliana, nimekupenda sana. Sayuma Yusuf, 0657052463
MENINAH: Hapana, kutoa namba ni vigumu naomba uwasiliane nami kupitia Mtandao wa Instagram natumia jina hili Meninaladiva.
ETI ANACHEPUKA NA MSHINDI WA BSS 2013?
Dada kuna taarifa zilienea mtaani kuwa wewe una uhusiano wa mchepuko na mshindi wa BSS 2013, je, ni kweli? Said, Dar, 0718000790
MENINAH: Hakuna kitu kama hicho.
AMEHAMIA SKYLIGHT BAND?
Nakukubali sana dada Meninah, hivi umehamia Skylight Band? Rabia Mohamed, Dar, 0659985793
MENINAH: Hapana sipo ila kuna rafiki yangu ambaye tunafanana sana anaitwa Digna ndiye yupo Skylight na watu wengi wanatuchanganya.
Pamela akitokelezea kwenye picha na mmoja wa wahariri wa Gobal Publishers, Bw. Siphael Paul.
ANAMFAHAMU
Nakufahamu Meninah umezaliwa Manzese Uzuri (Dar), mama yako anaitwa Amina Mkwawa, baba yako Abdul Atik. Msomaji, 0715059450
MENINAH: Siyo kweli.
ANAMHOJI
Napenda sana kazi zako, je, una mchumba na vipi kuhusu ndoa? Msomaji, 0716784168
MENINAH: Sina mchumba na bado sijaamua kuolewa.
HATARI SANA HII..FUMANIZI LAZUA MAMBO KWA WATWASI..TWENZETU UJIONEE!
YEYE NA OMMY DIMPOZ
Meninah eti ni kweli unatoka kimapenzi na Ommy Dimpoz? Francisca, Tanga, 0652332243
MENINAH: Hapana.
ETI ANA MASHAUZI
Hooo! Dada nakujua tulikuwa wote kwenye BSS 2013 ulikuwa na mashauzi hata hutaki kuongea na watu pwaaa. Jenipher Charles, Dar, 0755075255
MENINAH: Sikufahamu na sijawahi kushiriki na mtu mwenye jina hili, sina mashauzi.
AMEFAIDI NINI BSS?
Vipi Meninah umefaidika nini ulivyoshiriki BSS na ulifika steji ipi na una mpango gani na maisha ya baadaye? Erasto, Moshi, 0752387512
MENINA: BSS imenisaidia kujulikana na vyombo vya habari, kama siyo ningepata ugumu sana wa kazi zangu kujulikana, kuhusu mpango wa maisha yangu ni kuwa na familia yangu niwe na kwangu kwani sasa hivi nipo nyumbani kwetu.
UMEPITIA MAGAZETI YOTE YA LEO SABASABA?! TWENZETU...
HUYU ANAMFAHAMU
Meninah ulikuwa unakaa Kurasini karibu na Uhamiaji, ulikuwa unatoka na madereva teksi kabla hujawa maarufu. Msomaji, 0713388514
MENINAH: Ni kweli tumeishi huko Kurasini lakini kuhusu kutoka na madereva teksi siyo kweli kwani mama yangu alikuwa na gari hivyo wakati akiwa hayupo tulikuwa tukiendeshwa na dereva teksi mmoja hivi ambaye mama alikuwa akimuomba atupeleke mjini.
USHAURI
Dada ninakushauri kwamba wewe ni binti mzuri sana jiepushe na skendo kama hawa wasanii wengine leo wana hili kesho lile, jiheshimu kama mtoto wa kike nawe utaheshimika, uzuri wako uendane na tabia yako.
Rejina Musa, Arusha, 0767909535
MENINAH: Asante kwa ushauri. nitaufanyia kazi.
Staa wa Bongo Fleva, Meninah Abdukareem ‘Ladiva’ Kama kawaida, wiki iliyopita tulimleta kwenu staa wa Bongo Fleva, Meninah Abdukare...








USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
After BET AWARDS Davido went to Rwanda where he is going to do a show on the same platform and artists in Rwanda. Show took place ...
.



. Mkali wa AfroPop East Africa na Africa nzima kwa ujumla kutoka Tzee, Diamond Platnumz amefunguka na kuahidi kushusha video zake mbili...







USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
Akiwa anahojiwa na jarida moja la huko nchini Kenya Vanessa Mdee, afunguka mengi ambayo hajawahi kuyasema sehemu nyingine yeyote ile, na...