, , ,

KAMA HUKUWAHI KUONA PICHA ZA MAHALI ANAPOISHI WEMA SEPETU, INGIA HAPA...NI BALAA

7:19 AM



 
 Lisebule heheyaaaaa
 Maishallah hongera 
 Tenaaaa






Mmeona eeeh
 Wema,Zamaradi na Snura


 Shurti kwa ji Kaunta 
 Mbona kama.....au hii dera tu,hahahahahahahahaha
 Hii ni kwa ajili ya kwendea sokoni hahahaha,msinisonye jamani
 Ndiga zake hizi hapa
Yes ni maeneo ya Kijitonyama ndipo anapoishi my gal Wema sepetu,ndio hata kama amepanga lakini si ndio nyumbani kwake jamani,hahahahahah haya basi mtuonyeshe na nyie za kwenu hahahaha mmenuna eeeeh
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....