, , ,

HII NDIO ZAWADI YA DIAMOND KWA MAMA YAKE KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA

9:33 AM

.

diamond
Mkali wa AfroPop East Africa na Africa nzima kwa ujumla kutoka Tzee, Diamond Platnumz amefunguka na kuahidi kushusha video zake mbili mpya kabisa, ikiwa kama zawadi kwa mama yake mzazi katika siku ya kukumbuka kuzaliwa kwake tarehe saba mwezi huu, ambayo ni jumatatu, anatarajia kudondosha homa nyingine ya jiji, Diamond Platnumz alifunguka na kusema kuwa atadondosha video zake mbili ikiwemo video ya nyimbo yake mpya kabisa ya “BumBum” aliyomshirikisha mwanamuziki wa huko nchini Nigeria, maarufu kama Iyanya.
DIAMON
Kusheherekea siku ya Kuzaliwa kwa Mama yangu kipenzu tareh 07/ 07 jumatatu hii ntadondosha Video zangu Mbili kwa Pamoja….! Hakikisha unakaa karibu na Media zako…!!“-alimalizia Mr.Dangote. Diamond Planumz anatarajia ku-make headlines tena kwenye media za hapa Bongo na EastAfrica nzima kwa ujio wake huo siku hiyo ya jumatatu ya kesho, ambayo pia atakuwa anasheherekea siku ya kuzaliwa kwa mama yake mzazi.
10522234_798784490145701_1609602900_n


USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....