,

MMMH!! TAZAMA HIZI PICHA ZA X-GIRLFRIEND WA DAVIDO..NI BALAA

5:19 AM


Unaambiwa kwamba mwanamuziki kutoka Nigeria huenda akarudi tena kwa mpenzi wake wa zamani baada ya kuona picha za mrembo huyo ambaye sasa anaonekana kuwa mrembo zaidi ya kipindi yuko nae penzini.  
Davido alishinda taji la Best Male Artist tuzo za katika MAMAs sasa ni kama anategwa na mrembo huyo ambaye inasemekana kuwa amekuwa akipiga picha tata na kisha kuziweka katika mtandao wa kijamii wa instagram ili kujaribu kumvutia, baadhi ya picha nimekuwekea hapa chini>>>


USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....