HUWEZI AMINI DIAMOND AAMUA KUMCHANA WEMA LAIVU...JIONEE HAPA
1:35 AM
Baada ya Siku mbili tatu Diamond Platnumz kuandamwa na vyombo vya habari kwamba anamtumia bibie wema sepetu kibiashara huku akiwa hajaonyesha mpango nae , Diamond ameamua kumtolea uvivu wema na watu wote wanaomsakama kuhusiana na mapenzi yake kwa wema. Kupitia ukurasa wake wa instagram Diamond aliandika ujumbe huu mzito kumuhusu wema..
Diamond alisema haya “Nafkiri ningewaona kweli Mnaakili na Mapenzi ya dhati kwa Msanii wenu… kama
mngemshauri apunguze Mashoga wapenda anasa na apunguze Stareh
zisizo na Faida, wenda ingemsaidia Pesa kuzitumia kwenye kufanya kazi na kuleta maendeleo badala ya kuwapa viwanda vya pombe… Mimi kama bwana, wajibu wangu ni
kuhakikisha Mpenzi wangu anakula vizuri, anavaa vizuri, analala vizuri, na kumuwezesha mtaji wa kufanyia kazi…. Waswahili wanasema Mchungaji bora anatakiwa kuhakikisha anampeleka Ng’ombe wake Kwenye Maji safi….ila yeye ng’ombe mwenyewe ndio anatakiwa aamue kunywa maji!!!!! Au mnataka nikishampa mtaji niache kufanya na show tena na kuigiza nimuigizie mie ???? Nisiende Studio nikae dukani nimuuzie
mie????.. ni juhudi zako kwanza!… leo hii mimi Hata ningepewa Mamilioni ya mamilioni kama nisingekuwa na moyo wa mie mwenyewe kwanza kutaka kujituma na kupenda kufanya kazi yangu nisingefikia hapa nilipo!….Mxieeeeeeeew!
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments