featured,
matukio
PICHA!!! MWANDISHI WA HABARI WA MAREKANI ALIVYOCHINJWA NA WAASI HUKO IRAQ...
11:55 AM
Mwandishi wa habari wa Marekani aliyekatwa kichwa, James Wright Foley (kushoto), akiwa amevishwa kanzu maalum.
Kabla
ya kuuawa kwake, Foley, aliwataka marafiki,
wanafamilia wake na wapenzi
wake wote kupambana na “wauaji wangu wa kweli” ambao ni serikali ya
Marekani.
Foley
akiwa na muuaji wake ambaye alisema
kitendo cha kumwadhibu mwandishi
huyo ni kulipiza kisasi mashambulizi ya ndege za Marekani nchini Iraq.
Foley enzi za uhai wake hadi alipopotea Novemba 2012, baada ya kutekwa huko Taftanaz, kaskazini mwa Syria.
Mama yake
Foley, Diana, na baba yake John, wakiwa katika mkesha kanisani kuwataka
wapiganaji wa ISIS kuwaachia
mateka wao.Kikosi cha kiislam cha kijeshi
chenye msimamo mkali kimeachilia video inayoonesha mauaji ya mwandishi
habari mwenye asili ya Marekani. James Foley alipotea tangu
alipokamatwa mateka na kushikiliwa nchini Syria miaka miwili iliyopita na sasa ameuawa.
Ikulu ya Marekani imesema inaifanyia uchunguzi wa kina video hiyo na ikithibitika kwamba mwandishi huyo wa habari ni wa taifa hilo ,serikali ya Marekani itataka ufafanuzi wa kina ilikuaje na kwanini James Foley auawe.Picha na habari kwa hisani ya GPL
0 comments