Robin van Persie akimlamba chenga kipa wa Hispania, Iker Casillas kabla ya kuifungia Uholanzi bao la nne katika ushindi wa 5-1 kwenye mechi ya Kundi B Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil.
Kipa wa Hispania, Iker Casillas, amewaomba msamaha mashabiki kutokana na kikosi chao kuchapwa mabao 5-1 na Uholanzi kwenye Kombe la Dunia!
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments