Siku chache zimepita tangu mwimbaji wa Bongo flava Ney wa Mitego asherehekee siku yake ya kuzaliwa ambapo pia mchumba wake anaejulikana kama Siwema alikuepo na alionekana kama mjamzito.Gossip Court imefanikiwa kunasa picha za supastaa huyo akiwa na kimchepuko cha Bongo Movie kinachojulikana kwa jina la Fatma Ayoub Bozi.
BAKI NJIA KUU NEY MCHEPUKO SIO DILI
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments