,

PENNY ALAMBA SHAVU, SOMA HAPA

3:08 AM

Kukufanya uelewe zaidi ni kuwa Penny ameshamove on… So wakati Weimond wakila bata Mtwara, Penny amekuwa akijiandaa kwenda hewani kama mtangazaji wa kituo kipya cha redio cha Dar es Salaam, EFM


“EFM 93.7 Dar es salaam… Wazungu wanasema??!!’ Coming soon,” ameandika Penny kwenye picha anayoonekana akiwa ndani ya studio za kituo hicho cha redio


USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....