mpya,
wasanii
"SIKUWAHI KUMTONGOZA WEMA, HUJIPELEKA MWENYEWE KWA WANAUME", CHALZ BABA AFUNGUKA. SOMA HAPA
10:10 AM
Chalz Baba alifunguka hivi “Sikuwahi kumtongoza bali nilikuta nimesha-date nae hata hivyo kwa mwanaume anaye mtongoza Wema hana kazi, coz mimi siamini kama Wema anatongozwa naamini huwa tu anaenda mwenyewe ahahaaahaahah yule siyo demu kabisa duh! asijisifu kuwa nilishawahi kumtongoza unanionaje kwanza nina jina kubwa bwana watu wanajileta wenyewe.” Chalz. #SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments