matukio,
mpya
SNURA KWELI KANASA, AACHIA PICHA ZINGINE AKIWA ANA 'DO' MAMBO YA KIKUBWA NA HUYU DJ
9:55 AM
STAA wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi anaonekana
kugandwa na mahaba niue baada ya hivi karibuni kuanika hisia zake na
kuonesha dhahiri kuwa amezama vilivyo kwenye penzi motomoto la jamaa
yake aitwaye Hunter Sleiyum.
Staa wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi akiwa kwenye mahaba mazito na boyfriend wake aitwaye Hunter Sleiyum.“Hata kuamua kufanya kazi hii ya kunengua majukwaani ni kwa sababu nilikwepa mambo ya kujiuza kwa wanaume, kazi hiyo siiwezi kabisa, niko tofauti na wengine wanaokubali kujiuza na kutothamini miili yao,” alisema Snura.
Mbali
na kumzungumzia mpenzi wake huyo ambaye ni DJ wa Maisha Club, Snura
alikanusha kuhusu taarifa za kutajwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na
mchezaji wa Yanga, Mrisho Ngasa.“Huwezi kuamini, Ngasa hajawahi kutoka na mimi, alikuwa ni mshkaji tu,” alisema Snura.
GPL
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

0 comments