PICHA!! SHEREHE ZA MUUNGANO WA TANZANIA ZILIVYOKUWA LEO
10:12 AM
Makomandoo wakionyesha namna ya kupambana bila kutumia nyenzo hapa wakivunja matofali kwa kutumia kichwa na mikono.
Kikosi cha Makomandoo kikipita kwa mwendo wa aina yake wakati wa sherehe za miaka 50 ya Muungano.
Kikosi cha
Makomandoo kikitoa salaam kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Muungano.
Baadhi ya silaha zakijeshi zikipitishwa mbele ya umati kuonyesha uwezo mkubwa wa jeshi letu.
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments