,

HIVI NDIVYO VITU ADIMU KUTOKA KWA JUX...NI SHIDAA. TAZAMA HAPA

12:12 PM


Kuna vitu vingi vilimpeleka msanii Jux nchini China ila moja ya kitu kimojawapo ambacho anakifanya nchini humo ni pamoja na ku shoot video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la NITASUBIRI, Jux ameshea picha hizi katika mtandao wa kijamii wa instagram na kuzungumza juu ya ujio wa video yake hiyo itayokujia hivi karibuni.
 
 Tazama picha jinsi utengenezaji wa video hiyo ulivyochukua nafasi huko nchini china








#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....