,

NI KWELI MKEO/MPENZI WAKO AKIKUVALIA VAZI HILI LAZIMA 'JONGOO ATOKE PANGONI??'....ONA HAPA

12:09 PM

https://www.facebook.com/theclicktz
Unajua mavazi nayo yana raha yake, isiwe uko ndani na mpenzi wako usiku umevaa gauni au jeans. Hii haiko sawa kabisaa. Vaa vitu vitakavyoweza kumfanya ajue kweli hajakosea kukuchagua wewe. ohhooo fanya hivyo mtu wangu watu wanazitafuta ndoa usiku na mchana. Ukiipata itumie vizuri mpe mume wako vitu roho inapenda sio uko ndani unavaa kama unaenda kwenye semmina au kikao cha shule utaikosa ndoa.
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....