,

BREAKING NEWS!!! MR. NICE APATA AJALI MBAYA, WALIOKUWA NAYE WOTE WAFARIKI...TAZAMA HAPA

12:36 AM


Kwa mujibu wa rafiki kipenzi wa Mr. Nice tangu kipindi kile cha "kidali po" Wabogojo aliandika kupitia mtandao wa kujamii wa instagram kuwa mnamo tarehe 12 mwezi wa 4 mwaka huu Msanii Lucas Mkenda "Mr. Nice" alipata ajali ya gari na waliyokuwa naye wote walikufa ila amenusurika yeye peke yake.

Tazama alichokiandika hapa chini
 
-SWAHILI TZ
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....