,

OMG!! MSANII MKUBWA SNURA AFUMWA LAIVU AKIWA KWA SANGOMA, 'MGANGA WA KIENYEJI'.....TAZAMA HAPA

10:10 PM


Msanii maarufu wa bongo fleva Mama wa Majanga Snura aka Snu Sex afanya mambo ya kustajabisha ambayo hayana longo longo wala nini,


Kupitia website yetu ya udaku ya Boss Ngasa tulipata mtonyo kutoka kwa rafiki wa karibu wa snura kuhusu swala la msanii huyu kushiriki ktk swala la ndumba, 


Kutokana na taarifa hizo mtandao huu ilifanya uchunguzi wa kina kwa kumfwatilia Msanii huyu, ambapo siku ya leo mtego wetu ulinasa kwenye 18 baada Msanii huyo kutinga kwa mganga kwa swaga ambazo hata mtu wake wa karibu ilikuwa vigumu kumtambua, Ila kwa juhudi za matandao huu mpana ulimfumania live snu sex akiwa amebebea Jogoo jekundu akiwasili kwa sangoma na kufanyiwa ndumba. 

Credit: Boss Ngassa
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....