Hii ni video ya wauza miili a.k.a machangudoa wakichezesha shepu zao
katika msiba wa kahaba mwenzao alietangulia mbele ya haki. Video hii kwa
hapa Afrika ya kusini ni imepata umaarufu mkubwa na watu wengi wamekuwa
wakitumiana kwa njia mbalimbali ikiwemo whatsapp. Kwa sasa hapa Afrika
ya kusini inaonekana hii ndio mpya ya kuhudhuria misiba. Hakuna tena
mambo ya kulialia, ni kuwa na furaha tu wakati mwenzao anazikwa
kaburini. Hii video inaripotiwa kurekodiwa katika kijiji cha Soshanguye,
Pretoria na kwa mujibu wa gazeti la City Press video hii imetengenezea
DVD ambayo inauzwa kama njungu na kuipata ni dili sana. Nyingi zinauzwa
katika kituo cha taxi cha Mabopane.
Ukistaajabu ya musa Umbea Mtupu inasema utayaona ya firauni, hebu cheki hii video ya machangudoa wakifanya yao:
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments