WEMA ATOA MANENO MAZITO KUHUSU MAMA YAKE KUTUKANWA...

5:12 AM

Katika ukurasa wake wa instagram mwanadada wema sepetu ameshusha maneno mazito sana yaliyowaacha baadhi ya followers wake watokwe na machozi na wengine kuhuzunika. Ujumbe huu unahusu kutukanwa kwa mama yake japokua wema hakutaja kwa uwazi tukio halisi analolihusisha na ujumbe wake huo japokua kwa siku ya leo au hivi karibuni hakuna habari mbaya ya kufahamika iliyomhusisha mama yake wema so inawezekana pia ikawa ni baina yake na kundi la watu fulani.
Wema-Sepetu-na-mama-yake
Wema alifunguka na kusema haya..”Dah…! Sijui hata niseme nini…! Ila si mlitaka kuniumiza… leo mmefanikiwa… nawapeni hongera…. Tena mmetisha haswa… Kila sjku huwa hata siumizwi na matusi yenu cuz naonaga kama ni mnajisumbua tu… Hakuna siku nimelia kwa uchungu kama leo… I min mnitukane mimi mpaka mchoke but leave my mum out of it… Kawakosea nini nyinyi mama angu mpaka mfanye hivyo… Mzazi nwenyewe ndo nimebakia nae mmoja tu… mnataka afe na yeye nibaki yatima sio… dah… leo mmeniweza… saana jamani… Basi naomba isifike huko… nina uchungu sana na mama angu … nampenda sana mama angu ila naona mnataka kuniulia mama angu… Picha halisi ndo hio hapo juu kweli mtu uende ukamfanyie hivyo mama wa mwenzako… una mama wewe.. au uliokotwa na hujui uchungu wa mama… dah… nime surrender leo…. hongera zenu narudia tena… mmeniweza leo…. dah… Mungu nipe nguvu ktk hili jamani… Kwani nilichokikosea haswa ni kitu gani mpaka iwe hivi . Nimekosa nini mimi yarabi toba…. Eeeh mungu… Dah… Ila nashkuru….
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....