mahusiano,
matukio,
mpya,
wasanii
Tazama Video/Picha za Mume wa Flora Mbasha akiongea kwa Uchungu, Aomba mkewe Arudi nyumbani...
12:23 AM
Emmanuel Mbasha (32) Alipoongea
na global TV alipokuwa mahabusu, Dar kati ya Juni 15 hadi 17, mwaka huu, staa wa Gospo Bongo, Flora Mbasha (31) anadaiwa kwenda nyumbani
na kukomba vitu vya ndani kuvipeleka kusikojulikana.
Kujuwa zaidi n ya moyoni kutoka kwa Emmanuel angalia video hapo chini
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments