, ,

Hatimaye Wema Sepetu Amvulia kofia Vanessa Mdee...Tazama hapa

12:33 AM

10475041_810448358973823_1519127542_n



Vanessa Mdee akiwa anatikisa media mbali mbali east africa kwa kuanza na video yake mpya ya “Come Over” iliyokuwa gumzo mtaani, Na hivi sasa kama ilikuwa haitoshi kuachia tena Single yake mpya inayoitwa “Hawajui”,
Moja ya single inayongozwa kuimbwa na kila mdau wa muziki hivi sasa. Kali zaidi ya single yake hii ni kile kinachoendelea hivi sasa kwa Wema Sepetu, mbali na kuwa rafiki mkubwa wa Vanessa Mdee, hii nyimbo yake mpya imetokea kumkaa sana akilini,
ni moja ya nyimbo anazozihusudu sana, mapema hii leo Wema sepetu ilibidi afunguke na kuonyesha mapenzi tele yaliyopitiliza kwa mwanadada Vanessa Mdee, ni kuanzia Instagram hadi twitter, ni Wema Sepetu na “Hawajui”, the new hit single in town.“I must confess …. @VanessaMdee ‘s hawajui song be off da hook…” alifunguka Wema Sepetu via twitter. Hawajui ni moja ya nyimbo ambayo ina ujumbe tofauti sana na nyimbo nyingine tunazoendelea kusikia kwenye media, zinazongelea mapenzi kila siku, Vanessa ni mwanamuziki anayejaribu kutoka kitofauti kila siku, na tunavyongelea hili hivi sasa juzikati alikwea pipa hadi huko
coke studios Africa, alipo kuiwakilisha Tzee na kuonyesha dunia vipaji zaidi vilivyo huku Bongo, Vanessa anatarajia kuonekana kwenye kioo chako kwenye season ya pili ya kipindi cha Coke studios. USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....