Kocha mpya wa Yanga SC, Marcio Maximo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.
Polisi akidumisha ulinzi wakati wa mapokezi ya Maximo.
Maximo
akiwanyooshea mkono mashabiki wa Yanga.
Mashabiki waliofika kumpokea Maximo.
Mashabiki wa Yanga wakipozi na kocha wao mpya.
Kocha Marcio Maximo
ametua jijini Dar muda mfupi uliopita kwa ajili ya kukamilisha mchakato wa kuanza kuifundisha timu ya Yanga. Maximo amepokelewa kwa shangwe katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
na mashabiki wa Yanga.
(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments