bongofleva,
wasanii
KAMA HUKUWAHI KUONA PICHA ZA MJENGO WA KIFAHARI WA LADY JAY DEE, INGIA HAPA
12:30 PM
lady jay dee ni msanii
mkongwe sana na mwenye maendeleo makubwa pia ameweza kulinda heshima yake tangu kipindi anaanza mpaka hii leo , mziki umeweza kumpatia mafanikio
makubwa ikiwemo kupata tuzo kibao kimataifa na kimataifa, mbali na hilo pia jay dee anamiliki band inayoitwa machozi bendi, naa pia mgahawa wa kisasa unaoitwa nyumbani lounge , hii leo tunkuletea exclusive picha ya nyumba ya kifahari anakokaa mwanadada huyo , picha zote ziko hapa shuka nazo
kama huja like ukurasa wetu wa facebook kwa habari zaidi
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments