,

SPLASH WEEKLY HOTSPOT!! RAPH TZ, A NEW SHINING BONGOFLEVA STAR!!!!

10:55 AM



Hii ni Excludiv segment!! Inayozungumzia Maisha ya wasanii tutakaokuwa tunafanya nao Xclusive Interview!!! This week tunae NYOTA/JEMBE, Raph tz. teenz Choice tumefanya exclusive Interview na hakika ukifatana nami utaamin kuwa Tanzania tuna hazina ya kutosha ya Wasanii wakali. Achilia mbali Diamond, Ommy Dimpoz. Raph tz is more HOT. 



Maisha/Elimu
Anaitwa Raphael Lihamwike ambaye kisanii anajulikana kama Raph tz. Huyu jamaa ni miongoni mwa wasanii wachache waliokwenda shule, elimu imelala na kitaaluma jamaa ana Degree ya Accounting and Finance ambayo aliipata katika Chuo cha St. John's University Of Tanzania. Music is business, kwa hiyo kama Mhasibu anaamini muziki ni kazi inayolipa na ndio maana kaamua kuingia Rasmi kwenye game akiwa na ndoto za kufika mbali sana......

Muziki/Projects
Kwa muda mfupi aliokaa kwenye game, amekwesha aachia madini/hits ambazo ukizisikia utaamini kuwa Raph tz ni mkali zaidi ya hao wenye majina makubwa. Hits alizokwisha achia sokoni mpaka sasa ni 5 ambazo ni;  UNAWEZA KUCLICK HIZI LINKS PIA ILI UWEZA KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD NGOMA HIZI MATATA SAAAAAAANA
Producer Jaysson Keys akisuka ngoma ya Raph tz 'JIPANGE' alofanya na Tunda Man na Darasa

Nyimbo zote zimefanywa na producer anaitwa Jaysson Keys, chini ya studio inaitwa ''KALI NATION''
Mbali na kuwa nyimbo zake zote kafanya KALI NATION pia baadhi ya bits amekuwa akisukiwa na Maproducer wengine wakali kama Nuh Mziwanda. Ngoma hizo ni Watasubiri na Darasa.
Raph tz akiwa na Wynem  "Hisia Zangu" ndo Collabo walofanya


PROJECTS ZINAZOKUJA
Kudhihirisha kuwa yuko serious na game, Raph tz ana projects ambazo anaamini zikitoka zitabamba na hakuna atakayekaribia Anga zake!!!!

Baadhi ya project ambazo ziko jikoni na muda si mrefu zitaanza kudondoshwa moja baada ya nyingine. Baadhi ya Projects hizo ni kama zifuatazo;

Project zilizopo studio:

1. Kama PlayBoy - Raph Tz ft. Suma Mnazalet & One Six

(producer ni Kimambo & Chris FrayKay)

2.Pesa - Raph Tz, Seby Concious, Miracle & Double Y (producer Double)

3. Try Me - Raph Tz ft. Mabeste

4. I Run Them Fake - Raph Tz, Baby Boy & Lotty Ole

5. Neria Hiphop Version - Raph Tz ft. Double Y (Prod. Double)

Ambition zake tofauti na Muziki ni Kuwa pia Video Director, na ameshaanza kujifunza kupitia Director Erick Backamaza!!!
WE ARE WAITING FOR THESE FANTASTIC STUFFS!! TEENZ CHOICE IS WISHING YOU ALL THE BEST AND WE ARE CONFIDENT THAT U'LL MAKE IT TO THE TOP. KEEP ON ENTERTAINING THE WORLD


USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

1 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....