, ,

TAZAMA HII PICHA!! NI KABILA GANI WANAFANYA HIZI MAMBO HAPA TZ??

11:08 AM


Chakula kweli ni utamaduni wa watu na hutakiwi kuhoji kwa nini huyu anakula hiki kwani hata wewe unachokula huenda kikawa sio kawaida kwa watu wengine. Hii ni mboga tena tamu sana, Hapa tanzania pia inatumika sana. Unajua ni kabila gani wanakula hii kitu???? USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....