, ,

SPLASH WEEKLY HOTSPOT!!!! NAFASI PEKEE/BURE KWA WASANII TANZANIA....CHANGAMKIA HAPA

6:33 AM



Hii iyakuwa inawajia kila Jumatano!! Tutakuwa na Xclusive Enterview/ Exclusiv stories kuhusu wasanii mbalimbali. Maisha yao/Kazi zao/Mahusiano/Matarajio yao kwa ujumla tutawaanikia hapa. Kuanza week hii tutakuwa na Exclusively WEEKLY HOTSPOT ambapo tutawaletea info kibao kumhusu Vanessa Mdee. 

Tunakaribisha wasanii ambao watapenda kuwa katika hii SEGMENT!! Especially UNDERGROUND ARTISTS. Wasiliana Nasi sasa kupitia Ukurasa wetu wa Facebook nasi tutaweka HABARI ZAKO HAPA!!! NI BUUUUUUUUUURE KABISA.

BOFYA HAPA ILI UWASILIANE NASI KUPITIA FACEBOOK (INGIA INBOX TUTUMIE UJUMBE)

USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....