, ,

MSANII AMINI AFUNGA NDOA KIMYA KIMYA NA HUYU MSANII WA KIKE..

6:49 AM



Muimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka
THT, Amini Mwinyimkuu jana June 22 ameukacha ukapela kwa kufunga ndoa na msanii Farida Bashir maarufu kama Namcy Vana
aliyeimba ‘Kantangaze’. USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....