,

RICH MAVOKO ATUHUMIWA KUIBA MASHUKA YA HOTEL ALIYOLALA, SOMA HAPA

2:26 AM

Week end iliyopita Mavoko na Shettah walienda kufanya show Mtwara miongoni mwa vitu vilivyotokea kwenye hotel waliyolala ni kuhusu kuondoka na mashuka ya hiyo hotel taarifa hizi anazi-amplify Soud Brown sikiliza kupitia 87.8 Clouds Fm Mbeya.

Rich-mavoko

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....