,

MAKONDA WACHAFU WAOSHWA KWA NGUVU, TAZAMA HAPA

12:43 AM

1
Hii unaambiwa imetokea Kisumu Ndogo, Donholm nchini Kenya Ijumaa iliyopita. Makonda hao walilazimishwa kuoga hadharani kwa   kile kinachaodaiwa   kuwa  walikuwa  wananuka. Wateja wamekuwa wakilalamika kwamba makonda hawa
wananuka na hivyo kuathiri biashara. Makonda hao waliogeshwa huku wadau wakishushudia na kuhakishiwa usafi kwa makonda itakuwa ni swala la lazima

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....