Joh makini ameandika maneno haya kwenye akaunti yake ya instagram baada ya kutokea kwa hitilafu kwenye ndege ambayo alikua amepanda...Thanx God wako salama..Tazama alichokisema hapa chini..
"Sijawahi kukutana na hitilafu ndege ikiwa angani duuu sio mchezo. Nashukuru Mungu rubani amefanikiwa kugeuza kurudi na kutua tena Dar salama tunasikilizia kupaa tena In God We Trust
0 comments