1)Anapenda kupungua uzito na pia wakati huo huo ni vigumu kuacha tabia ya kula vyakula vya sukari vinavyomuongezea uzito. 2)Anapreten...
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
Tazama Video/Picha za Mume wa Flora Mbasha akiongea kwa Uchungu, Aomba mkewe Arudi nyumbani...
Emmanuel Mbasha (32) Alipoongea na global TV alipokuwa mahabusu, Dar kati ya Juni 15 hadi 17, mwaka huu, staa wa Gospo Bongo, Flora Mb...
“Yaani sasa hivi Batuli na Mtunisi wana mahaba niue kwani wanaishi pamoja wanaamka na kulala wote maeneo ya Sinza-Mawela lakini wanafanya kuwa ni siri yao, hawataki watu wajue,”kilisema chanzo hicho.
Hivi karibuni Batuli aliweka picha ya Mtunisi katika akaunti yake kwenye mtandao wa Instagram na kuandika maneno haya “Alichokipanga Mungu hakuna wa kukipangua.”
Alipotakiwa kuzungumzia suala hilo, Batuli alisema hawezi kuzungumzia katika vyombo vya habari kwa vile mambo hayo ni maisha yake binafsi.
Kwa upande wake, Mtunisi alicheka na kudai kusikia kutoka kwa watu juu ya mwenzake kuweka picha yake mtandaoni na kuandika maneno ya kimahaba, kitu alichosema hawezi kuzuia nafsi ya mtu kumuweka moyoni.
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
WASANII wawili wa filamu, Nice Mohamed ‘Mtunisi’ na Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ambao walikuwa wapenzi kabla ya kuachana na mwanaume huyo kuoa,...
Mimi na dada yangu mtoto wa mjomba tumekuwa pamoja na kuzoeana sana, hadi wakati mwengine hutaniana kupita kiasi, Binti huyo yani binamu anaishi moshi na mjomba ambako mimi huenda mara kwa mara pindi nikiwa likizo.
Mjomba angu ni mkali sana, na huchunga sana watoto wake wakike, hivyo binamu yangu huyo ni mtoto wa geti kali ile mbaya hakuna kwenda popote zaidi ya kwenye bustani tu iliyopo nje hapo nyumbani.
Mjomba angu huniamini sana hata wakati mwengine husafiri na mke wake na kuniacha nyumbani hapo na binamu yangu huyo. Siku moja mjomba alipata safari ya kwenda nairobi na kuniacha mimi binamu na dada wa kazi. Hiyo siku binti huyo alivaa nguo ambao sijawahi kuona amevaa toka nimjue alikuwa akizunguka hapo ndani huku akijiachia bila wasi wala kujali mimi nipo. Kwakweli ni msichana mwenye mvuto yani kama una moyo mwepesi unaweza kuomba tunda. Ilifika wakati mpaka akaanza kuja na chumbani kwangu akiwa amevaa nusu uchi nakutaka ni mfanyie massage akidai mgongo unamuuma, sikuweza kufanya hivyo mpaka akaniuliza kwanini unanifanyia hivyo, na mimi nikamuuliza kwani hujui mi ni nani yako akajibu kwa unyonge sina jinsi naumia nisaidie hatojua mtu, daah basi nilimuelewa nikamfanyia massage na nikamuacha aende kwakweli ulikuwa ni wakati mgumu sana kwangu mpaka pale mjomba alivyorudi na nikaaga nikaondoka zangu. ila nashukuru sikutegeka. HATEGWI MTU HAPA
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
Mimi na dada yangu mtoto wa mjomba tumekuwa pamoja na kuzoeana sana, hadi wakati mwengine hutaniana kupita kiasi, Binti huyo yani binamu ...
Wiki iliyoisha tulipata muda wa kukaa na Producer Luciano Tsere aka LuccidaDon au unaweza kumuita lucci na kufanya naye maojiano kadhaa kuhusiana na muziki anaofanya , kazi yake ya music production na zaidi ya yote mahusiano yake yeye na jokate na feza kessy. kwa kifupi lucci amezaliwa tarehe 30 September 1985 Lusaka Zambia, akiwa ni mzaliwa wa nne, wa mwisho kuzaliwa na akiwa mtoo wa kiume pekee kwenye familia. kuhusiana namahusiano
yake na feza kessy lucci aliyasema haya “Nilikuwa na uhusiano na Feza, i event engaged her mwaka2012, na kuna kazi nyingi ambazo nimeshawahi kumfanyia kimziki, bahati mbaya tulikuja kuachana, tulikuwa pamoja for 2 years, actually moja ya sababu iliyofanya tuachane ni kwamba unajua kuna kuvumiliana na kupeana chances,
alivoingia big brother mimi sikuwa na tatizo ila alivoanza niongelea vibaya mimi na familia yangu in public hiyo sikupenda kwakweli, unajua nnafahamiana na watu wengi, en kuna watu walikuwa wanafahamu kuhusu uhusiano wetu sasa
kuanza kuongeleana vibaya sikupenda kwakweli” USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
PRODUCER LUCCI AONGEA KUHUSU MAHUSIANO YAKE YA KIMAPENZI KATI YAKE NA FEZA KESSY NA JOKATE...INGIA HAPA
Wiki iliyoisha tulipata muda wa kukaa na Producer Luciano Tsere aka LuccidaDon au unaweza kumuita lucci na kufanya naye maojiano kadhaa ...
Inasemakana ya kwamba maeneo ya vyuoni kumekuwa na wimbi kubwa la tabia hii ya usagaji, uchunguzi unasema. Tabia hii imekuwa sana sehemu hizo kutokana na uhuru uliozidi kwa wanafunzi. Wanafunzi fulani
walihojiwa kuhusu swala hilo la kujiingiza kwenye usagaji na kujibu kwamba wao husikia raha zaidi wakifanya wenyewe kuliko wakishirikisha mwanaume, wakadai ya kwamba wanaume wengi wa siku hizi hujiridhisha tu
wenyewe na kisha kukuacha wewe bado, ni mateso ndio mana sipendi wanaume. TOA MAONI YAKO MDAU
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
Inasemakana ya kwamba maeneo ya vyuoni kumekuwa na wimbi kubwa la tabia hii ya usagaji, uchunguzi unasema. Tabia hii imekuwa sana sehemu ...
Kizazi cha Wanaume Wahongaji Chapotea Taratibu, Kizazi cha Wanaume Bahili Chashika Chati kwa Kasi!
Mwenzangu IS IT JUST ME AU NDO GAME LIMECHANGE SIKU HIZI? Au ndo nimeshakuwa mbuzi mzee bila taarifa? Naaaaaaah! Wanaume mnakoelekea sik...
Ni kitu kisichopingika, wanaume wengi wazurii chini hawana kitu kabisaa,samahani kama nitakuwa nimewatukana ila ni ukweli mtupu, Pia l...

....Nimevumilia vya kutosha hii tabia sasa naona itakua imefika kikomo. Naishi na mpe nzi wangu hatujafunga ndoa tatizo nashindwa ...
Mwanaume wa kwanza, nilikutana nae kidato cha tano lakini baada ya matokeo kidato cha sita aliniacha eti kwa sababu mimi nimefauru hivyo...
Msingi wa kukata kiuno
Simama wima(ukiwa uchi mbele ya kioo ndio it'll work better), weka mikono yako hapo tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele (lituni...
"haya mume wangu kipenzi leo umeniletea nini" nikamuambia leo sina kitu wife kesho nitakuletea bonge la zawadi akasema wala usijali mume wangu leo nina bongo la zawadi yako, mi nikajua utani
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yan...
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
TUJADILI!! KAMA HUYU DADA NI TUNDA, UNAHISI ATAKUWA TUNDA GANI? (POST YA WANAUME TU)
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
Hili ni tukio la aina yake lililowahi tikisa bongo movie kati ya mwaka 2011/ 2012.......
Tangu mwaka jana kumekuwa na mfumuko wa kasi kwa wasanii wa kibongo kupiga picha za utupu na kuzisambaza mitandaoni huku wengine wakijiuza live...!!!
Awali wasanii hao walishuhudiwa wakiwa karibu kimahaba ambapo walikwenda kukaa chini ya mti na kuanza ‘kudendeka’ kabla ya kuzama katika hatua mbaya zaidi ya kutomasana na kuvuana nguo bila kujali kuwa ilikuwa mchana tena hadharani.
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
WASANII WAZIDI KUTIA AIBU, HAWA WABAMBWA WAKIFANYA MAPENZI VICHAKANI...TAZAMA HAPA
Chipukizi wawili wa filamu za Kibongo, Tabasamu Mohamed na Neema Ibrahim, walikutwa ‘laivu’ wakifanya mambo ya chumbani hadharani...

NANUKUU ALICHO KISEMA KWA KISWAHILI, NAWASHANGAA WANAWAKE WANAO KUFA MASIKINI IKIWA WAMEPEWA KINANILIU...MIMI KIONGOZ WENU SASA!!
KWA MAANA FUPI ANACHOCHEA WANAWAKE KUJIUZA...
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
DUUH!! HUU NI UJUMBE KWA WADADA KUTOKA MWIMBA NYIMBO ZA INJILI, ALIYEGEUKA KUWA MPIGA PICHA ZA UTUPU, MAHEEDA
NANUKUU ALICHO KISEMA KWA KISWAHILI, NAWASHANGAA WANAWAKE WANAO KUFA MASIKINI IKIWA WAMEPEWA KINANILIU...MIMI KIONGOZ WENU SASA!! KWA M...

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
SOMA HIKI KISA HUYU DADA ALIVYOFANYIWA NA WAZUNGU BAADA YA KUWASHOBOKEA, FUNDISHO
Alikuwa hajui na hajawai fanya mchezo huo lakini kujirahisisha kwake kwa watalii waliotembea mbuga ya Masai Mara ku...
Kwenye show ya Xmas Diamond alifanya show yake kwa ajili ya watoto Leaders Dar es salaam ambapo baadae vyombo vya habari vilimkariri akitangaza kwamba Wema Sepetu ndio mpenzi wake wa sasa.
Kwenye XXL Diamond amekwepa kulijibu hilo swali ila akamzungumzia Wema na uwepo wake pamoja na movie yake ambayo wamecheza pamoja na inatarajiwa kutoka mwaka huuhuu wa 2014.
Diamond alidondoka kwenye Exclusive interview ya XXL ya Clouds FM na kuyajibu maswali ya Raymond Mshana ambae ndio alikua anaifany...

Kasikila alitoa kauli hiyo jana, baada ya kutakiwa kujibu shutuma zilizotolewa na mumewe huyo, Michael Christian (26) ya kung'ang’ania vyeti vyake vya elimu kwa lengo la kumtaka arudi nyumbani.
Christian aliyefika katika ofisi za NIPASHE jana alitoa nakala ya barua aliyoituma kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi, kuomba atumie uwezo wake wa kisheria ili mbunge huyo amrudishie vyeti vyake alinavyovishikilia.
Kufuatia maelezo hayo, NIPASHE ilimtafuta Dk. Nchimbi kwa njia ya simu ili athibitishe kupokea nakala ya barua hiyo lakini simu yake ilikuwa imezimwa.
Nakala nyingine za barua hiyo zilitumwa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili na Haki za Binadamu kwa jamii-Madhehebu ya dini nchini, Askofu William Mwamalanga, Mchungaji wa Kanisa la Assembilies of God, Mikocheni B, Mchungaji Getrude Rwakatare na vyombo vya habari.
Akijibu shutuma hizo, mbunge huyo alisema hajawahi kung'ang'ania vyeti vya kijana huyo wala kulazimisha ndoa kama anavyodai Christian.
"Nahisi kuna watu wanamtumia ili wanichafue, siwezi kung'ang'ania vyeti, kwanza vya kazi gani kwangu, ukweli ni kwamba Michael, shida yake anataka nichafuliwe, kwangu aliondoka wakati sipo, sasa hivyo vyeti nimeving'ang'ania saa ngapi," alisema na kuongeza:
"Mwaka jana nikiwa Dodoma nilipata taarifa ameondoka nyumbani, kweli nilivyorudi nilikuta amechukua vitu vyake vyote kasoro tu vile nilivyomnunulia, hivyo vyeti anavyosema nimeving'ang'ania mbona hajawahi kutamka mbele yangu zaidi nimeona kwenye magazeti," alihoji.
Alisema baada ya kufika nyumbani alipata taarifa kuwa, mume wake huyo amepanga chumba na anaishi na mwanamke mwingine (askari) ambaye ni mjamzito.
Alisema utaratibu alioutumia kijana huyo wa kumchafua kwenye magazeti siyo sahihi na kumshauri angeenda mahakamani au kanisani kama aliona haitaki ndoa tena.
Aliongeza kuwa yeye na Christian walifahamiana mwaka 2009 baada ya kufiwa na mume wake aliyemtaja kwa jina moja la Mushi.
"Sikumtongoza kama anavyosema, alikuja katika hospitali ya Bagamoyo akitokea chuo cha Red Cross wakati huo nilikuwa Muuguzi Mkuu, aliponiona alinipenda alianza kunitongoza, nilimkatalia na kumwambia mimi ni mtu mzima sana kwake, " alisema na kuongeza:
"Alikuwa ananitumia email (barua pepe) za kunitaka, nilimwambia umri wangu ni mkubwa, lakini yeye alikuwa ananiambia kwenye vitabu vya dini kuna sehemu gani kumeandikwa umri," alisema.
Alisema alijikuta ametumbukia kwenye penzi la kijana huyo na kuanza mahusiano naye.
"Nina nakala zote za vidhibitisho ambavyo alikuwa akinitumia kunitongoza nimevichapisha kama vielelezo vyangu, tena wakati tumeanza uhusiano Taasisi ya Safina ambayo ilikuwa ikimsaidia katika masomo yake, ilinipigia simu," alisema na kuongeza:
"Safina walitaka kujua kama nina mahusiano na huyu kijana niliwajibu ni kweli, waliniambia kama ndiyo hivyo wanafuta kumsaidia kwa sababu wao huwasaidia wale ambao hawana uwezo, yatima, " alisema.
Alisema wakati taasisi hiyo ikimfuta, ilikuwa imemlipia Christian sehemu ya ada ya masomo aliyokuwa akiyachukua."
"Nililazimika kumlipia ada ya mwaka wa pili na watatu wa masomo yake pamoja na mambo mengine na ilifika kipindi aliniambia anataka kunioa, ndipo tulipofanya mchakato ambapo nilitolewa mahari na ndoa ilifuata taratibu zote ikiwa ni pamoja na kutangazwa mara tatu," alisema.
Alisema Christian alifuata taratibu zote ikiwa ni pamoja na kutoa mahari ya Sh. 200,000 na baada ya harusi alipelekwa Kondoa kwa ndugu wa kijana huyo.
"Huko tulienda kati ya mwezi Julai au Agosti, mwaka jana, tulifanyiwa sherehe za kimila na ndugu za mume wangu ambao ni baba mdogo, bibi mzaa baba yake na shangazi, pia ndugu zake wa Kimara na Dodoma wananijua, " alisema.
Hata hivyo, mbunge huyo alipoulizwa kama ndoa hiyo ipo sasa hasa kufuatia shutuma hizo, alisema hawezi kujua kwa sababu mume wake aliondoka bila kumuaga na kwa sasa anaishi na mwanamke mwingine toka Novemba mwaka jana.
Alisema wakati wa mahusiano yao wafanyakazi wenzake Christian walikuwa wakimhoji kwa nini ameamua kuwa na mtu mzima kama (mbunge), lakini yeye aliwajibu hakuna umri kwenye biblia.
Alipoulizwa kama ana mpango wa kuchukua hatua dhidi ya kijana huyo, mbunge huyo alisema hana mpango.
Mbunge huyo alijitetea kuwa, hakumlazimisha kufunga ndoa na kwamba wakati kijana huyo akimtongoza, alimweleza kuwa hawezi kuzaa kwa sababu umri wake umeshapita.
Mbunge Roseweeter Kasikila ...

hufanyika kwa siri sana kwa kuogopa kuharibu mahusiano mtu aliyonayo, wako baadhi ambao wamegundulika na mahusiano yakaathirika kwa kiasi kikubwa na wengine yalikufa kabisa.

Wako ambao wameweza kuhimili machungu ya kugundua hali ya wapenzi wao kutokuwa waaminifu lakini pia wako ambao imewashinda kabisa kuwa wavumilivu, wako ambao hali hii imewaletea shida kihisia, kisaikolojia na hata kiafya. Kwa bahati mbaya wengi wetu hatuzijui hata dalili au alama zozote zakutujulisha mabadiliko waliyonayo wapenzi wetu ili basi walao tuanze mapema kufanya uchunguzi au kupeana tahadhari kabla makubwa na machungu zaidi hayajatokea.

Zifuatazo nia alama zitakazokusaidia kuwamacho mara utakapoona mazingira ya kufanana nazo yanatokea katika mahusiano yenu, alama hizi nimezikusanya katika mazungumzo na baadhi ya watu niliowahi kusaidiana nao kutatua matatizo ya mahusiano yao na pia nikazihakikisha kupitia kusoma vitabu mbalimbali, kwahiyo ninauhakika zitakusaidia kuona uhalisi wa mambo, na yamkini utaona baadhi ya alama ambazo umeshawahi kuzihisi au kuzishuhudia katika mahusiano yako.
1.Kuongezeka kwa ghafla kwa hali ya kujipenda:
Yawezekana mpenzi wako alikuwa amezoea kuvaa kawaida, hapa simaanishi kutopendeza, na wewe ulikuwa umemzoea katika halifulani ya mavazi au mitindo mara ghafla anabadilika nakuwa mtanashati zaidi, ana badilisha mavazi, anapenda mavazi ya garama, labda alikuwa hatumii manukato lakini gafla anaanza kupenda manukato tena ya garama, anakuwa mtu wakujijali zaidi ya kawaida yake kiasi ambacho hukumzoea. Katika hali hii jaribu kuwa macho zaidi kufahamu nini kilicho sababisha mabadiliko ya gafla kiasi hicho.

2. Kuanza kuchelewa kutoka kazini mara kwa mara:
Sio kwamba kila mtu anapochelewa kutoka kazini basi anakuwa sio mwaminifu, lakini zaidi ya asilimia 75 (kutoka kwente tafiti) ya ambao wamekuwa na mahusiano nje wamekuwa wakitoa visingizio vinavyohusiana na kazi, vikao, mikutano na safari za kikazi, yamkini wewe ni shahidi wa hili. Unaweza kukuta mtu alikuwa anafanya kazi hiyo muda mrefu tu tangia muanze mapenzi yenu, mara gafla hali inabadilika, sikuhizi anachelewa sana kurudi nyumbani, na anaporudi unaweza kutegemea utamwona amechoka kimwili na hata kiakili kwa majukumu ya kazi kuhusiana na asili ya kazi anayoifanya lakini unakuta mtu wala haonyeshi kuchoka, anafuraha kama kawaida. Hali hii inapojitokeza mara kwa mara usichelewe kufungua macho na kudadisi mazingira maana yamkini ni kweli amepata kazi ya ziada ila siyo ile ya ajira unayoijua wewe.
3. Kupenda kutembea na mipira ya kinga mara kwa mara (condoms)
Inashangaza maranyingine kusikia mpenzi mmoja anatabia ya kubeba kondom kwenye pochi yake au mfukoni kwa kisingizio kuwa anajali, cha kushangaza zaidi unakuta yuko katika mahusiano na mkewe au mumewe. Yamkini nikweli kunakujali na labda katika mahusiano yenu hili sio la kushtua kwasababu mnajali afya zenu au mnatumia kondomu kwa sababu zaidi ya moja, lakini inakuwaje pale unapogundua kuwa ile kondom uliyokuwa unaiona haipo tena na yamkini wewe hukuhusika katika kuitumia.
4 Mazingira tatanishi ya simu:
Inawezekana mpenzi wako sio mtu wa kupokea simu au kupiga simu sana, na hivi ndiyo ulivyomzoea, mara gafla simu zinaanza kumiminika mpaka mida ya usiku. Yamkini pia alikuwa yuko huru hata simu yake inapolia waweza ichukua na kumpatia lakini gafla anakuwa na hofu kubwa na kuificha simu yake, nimeongea na wengine ambao wanakwenda na simu hadi bafuni isije ikasikika. Wengine wameanza kuondoa milio katika simu zao wakati haikuwa kawaida yao, wengine wamegundua kila mbinu ya kuweka namba ya siri (password) ngumu hadi mwenyewe anashindwa kuikumbuka wakati mwingine, wako ambao simu zao zikipigwa hawawezi kupokea na kuongea kwa uhuru kama kawaida, ataondoka na kujitenga pembeni akijifanya anaongea kiuaminifu kabisa lakini mtu uliyempenda na umkamzoea unaweza kugundua uhalisi wa anachokiongea kwenye simu na jinsia ya anayeongea naye kwa kumuangalia usoni tu. Yamkini mpenzi wako amepigiwa simu na kwasababu hakuwepo karibu ukaipokea, na mara mpigaji wa simu anapogundua aliyepokea sio mwenye simu anakata simu hiyo gafla, au gafla unagundua kila simu inayopigwa. kwenye simu ya mpenzi wako haionyeshi namba au haionyeshi jina. Mazingira kama haya yanapozidi basi jaribu kuchukuwa hatua, yawezekana kuna mvamizi tayari katika mahusiano yenu.

5.Harufu ambazo hujazizoea:
Kwa kuwa wapendanao huwa wamezoeana,maranyingi hata aina ya manukato mmoja anayotumia yanakuwa yanajulikana kwa mwenzake, hata kama mmoja hajui jina la manukato anayotumia mpenzi wake lakini basi atajua walau jinsi yanavyonukia. Sasa hembu fikiri unamkuta mpenzi wako ametokea na anaharufu ya tofauti kabisa na uliyoizoea, yamkini umeisikia harufu hiyo akiwa amerudi toka kazini wakati asubuhi alipoondoka alikuwa na harufu ile uliyoizoea. Najua hali hii inaweza kuwa na sababu zinazoeleweka lakini maranyingine ni ishara ya kuashiria kutokuwepo na uaminifu baina ya mpenzi mmoja. Maranyingine sio harufu bali michubuko katika maeneo fulani ya mwili ambayo hayana maelezo fasaha yalikotokea, iko michubuko mingine ambayo inajieleza na kutia shaka zaidi, yawezekana, ni mpenzi wa kiume lakini unamkuta na ishara za rangi ya midomo (lip sick) kwenye nguo au mwilini, sidhani kama na hapa bado maelezo yake yataingia akilini kiurahisi.
6. Tabia za kuanza kukufuatilia sana au hata kukuganda: Nimeshawahi kuwa na mazungumzo na watu wajinsia ya kike waliokuwa kwenye mahusiano ambapo wanaume wao walikuwa hawawaachi, watawapeleka kila wanakotaka, nakutoruhusu mazingira ya wapenzi hawa wakike kuwa huru kufanya mambo yao wenyewe, wengine waliitafsiri hali hii kama penzi kubwa sana, yuko aliyeniambia “mpenzi wangu ananipenda sana, yani hawezi niacha mwenyewe, kila sehemu anataka niende nae” baada ya muda mtu huyu aligundua kuwa ile ilikuwa ni ujanja wa kuficha uhalisi wake na kuzuia mazingira ya mpenzi wake wa kike kugundua au kupewa taarifa za tabia zake, na kwa muda mrefu hakugundua mpaka siku alipo pata tarifa za ukweli na ukawa mwisho wa mahusiano yao, tena mwisho wenye uchungu sana. Kuwa macho sana na tabia za mpenzi wako kukuchunguza sana unapotoka, ulipokuwa, ulikuwa nanani, mlifanya nini, nani mwingine alikuwepo, unaenda wapi, kwa muda gani. Yawezekana yote hii ni hali ya kujilinda au kujihisi mdhambi (guilty conscious) inayomsumbua.
7. Mabadiliko katika tendo la ndoa:
Jambo hili laweza kujidhihirisha katika picha mbili tofauti. Kwa kawaida wapenzi huwa na mazoea fulani katika tendo la ndoa, kwa muda waliokaa pamoja kila mmoja humfahamu mwenzake kwa kiasi fulani. Inawezekana likawa jambo la kushangaza pale ambapo gafla unamuona mpenzi wako anapoteza kabisa hamu ya tendo la ndoa, au hata mnapokuwa katika tendo hilo humuoni akifurahia bali anakuwa kama anayelazimishwa au kutohamasishwa na chochote. Kwa upande mwingine unaweza ukakuta mpenzi wako anakuja na ujuzi wa gafla katika mahusiano yenu ya tendo landoa, hali yake ya kukutamani inazidi gafla, anahitaji mapenzi mara kwa mara na hata mnapokuwa katika tendo hilo anadhihirisha utaalamu wa tofauti na ule uliouzoea. Hali hizi mbili zifanyike tahadhari katika kukusaidia kuyatazama mahusiano yenu.
8. Marafiki wa mpenzi wako kukukwepa:
Ni hali yakawaida kuwa karibu au kuzoeana na marafiki wa mpenzi wako, maranyingine mtawasiliana nao kutaka kujua aliko mpenzi wako au kinachoendelea kwao. Inabidi ujiulize sana pale inapotokea gafla wale marafiki wa mpenzi wako uliowazoea, uliokuwa unawapigia simu wakati wowote leo wana kukwepa, na hata simu hawapokei na maranyingine wakipokea hawakupi taarifa yakueleweka au wanakudanganya. Hii yote inawezekana wanamlinda rafikiyao, au wanakosa cha kujibu maana wanajua uhalisia wa kinachoendelea.
9. Kuzungumza sentensi za kutatanisha:
Kama nilivyosema awali, wapenzi wengi hujuana kwa mengi, ikiwemo pia namna ya kuzungumza au kuonyesha hisia. Unaweza kukuta katika mapenzi yenu mpenzi wako anaanza kuwa na sentensi ngumu na zisizo kuwa na msingi kwa mfano anasema “kwa jinsi hii sidhani kama tutafika” “mi siamini kama mapenzi yanadumu” “yani ndio maana watu wanashindwa kukaa na mpenzi mmoja” na maranyingine anaweza kukuuliza baadhi ya maswali moja kwa moja ili kukuona utajibuje. Sentensi hizi zina chanzo moyoni, kuwa macho.
10. Kuzidi kwa tabia za kutoonekana au kuponyoka:
Yawezekana mpenzi wako alikuwa na tabia ya kuwepo nyumbani mida isiyokuwa ya kazini au wikiendi, muda mwingi alipenda kuwa na wewe na akiaga basi atasema anakwenda wapi na akimaliza hurudi mapema kwa sababu anakiu ya kuwa nawewe, mara gafla sikuhizi haagi anakwenda wapi, ukiuliza inawezakuwa vita. Anakuwa na vijisafari vingi na vijisababu visivyoisha vya kumuwezesha kuponyoka. Sehemu ya kwenda na kurudi lisaa limoja anaweza kuchukua nusu siku, kila ukiuliza atakwambia nakuja, niko njiani, kuna foleni, nimekwama, na sababu nyingine nyingi sana. Ukiona haya yanazidi ujue kuna la zaidi ya foleni, na hizo sababu zote zinazotolewa zinafunika jambo.
11.Tabia za kuficha fedha:
Ninafahamu fika kwamba suala la uwazi katika mambo yanayohusiana na fedha na matumizi ni tatizo kubwa kwa wapenzi wengi, wengi wamegombana na hata kuachana kuhusiana na jambo hili. Japokuwa hili ni tatizo kwa wengi lakini wako wapenzi ambao wamekuwa na tabia ya kuambiana kwa uwazi matumizi na mapato yao, hakuna kitu wamefanya kuhusu fedha zao pasipo kuambiana na hivi ndivyo mlivyozoeshana, mara ghafla mmoja anaanza kuwa na siri kuhusu fedha zake au matumizi yake, na wala hapendi kuulizwa ulizwa kuhusu suala hilo. Tabia hii ikidhihirika katika mapenzi yenu usichelewe kuchunguza maana kwa kukaa kimya unaweza kujikuta umechelea mwana na maji ya moto...
Kila mmoja atakubaliana na mimi kwamba mahusiano baina ya wapendanao yalikusudiwa kuwa ya upendo, maelewano, kuaminiana, na urafi...






.jpg)

.jpg)





