Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi
ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yango ya
kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeju yangu nyumbani
kaka alikuwa bado hajarudi. kama kawaida yake akaanza.
"haya mume wangu kipenzi leo umeniletea nini" nikamuambia leo sina kitu wife kesho nitakuletea bonge la zawadi akasema wala usijali mume wangu leo nina bongo la zawadi yako, mi nikajua utani
"haya mume wangu kipenzi leo umeniletea nini" nikamuambia leo sina kitu wife kesho nitakuletea bonge la zawadi akasema wala usijali mume wangu leo nina bongo la zawadi yako, mi nikajua utani
bwana aliniacha sebuleni yeye
akaingia chumbani kwake na mimi pia sikukaa sana nilienda chumbani
kwangu mara tu nikasikia ananiita shemeji njoo huku tayari nikatoka,
akaniambia njoo huku chumbani kwangu, nikafika ila nikaishia mlangoni
akaniambia ingia shemeji. heehh nikamkuta amevaa nguo moja fupi ya ajabu
akaniambia ngoja nikuonyesha mambo ninayompa kaka yako akaanza kukaa
style tofauti tofauti pale kitandani za kusisimua, kweli nilishindwa
kumuelewa nikamuuliza shemeji huu ni utani pia au uko serious.
akaniangalia tu machoni halafu akaendelea. Nilivyoona vile nilifungua
mlango nikatoka. akaaniita kwa hasira mi nikarudi chumbani kwangu
nikalala. Sasa namuonea hata aibu kumuangalia shemeji yangu. Hii ni sawa
kweli wadau..!!
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments