MENINAH AELEZEA MAHUSIANO YAKE NA DIAMOND....SOMA ZAIDI HAPA

11:38 AM

Screen Shot 2014-08-15 at 2.22.56 PMMwanzoni mwa wiki hii kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kulisambazaa taarifa za Meninah kuhusishwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake ambae ni Diamond Platnumz ambapo kupitia Leo Tena ya Clouds Fm Meninah amekubali kuongelea hii.
 Matano aliyoyasema Menina ni haya hapa chini…
 1.Sina uhusiano wowote na Diamond Platnumz.
 2.Mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa Dodoma kwenye uzinduzi wa video ya Miaka 50 ya Muungano.
 3.Sijawahi kuwasiliana nae hata namba yake ya simu sina kwenye simu yangu.
 4.Mimi napenda uhusiano wao kati yake na Wema Sepetu.
 5.Nampenda Wema kama dada yangu na namkubali Diamond Platnumz kama msanii mwenzangu.

Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....