Behind the scene Diamond akihojiwa na Factory 78 ya UK.
 
 Behind The Scene Diamond akiwa na Super Designer aliyedesign Suit ya Diamond –Mr Sheria Ngowi.
 
Diamond akihojiwa na Karrueche Tran Kwenye Red Carpet (Karrueche ni Girlfriend wa Chris brown).
 
Singer Faith Evans ambaye ni Mke wa Marehemu BIG alipata nafasi yakupiga picha na Diamond.
 
 Camera yetu ilimpata Platnum katika poz hili.
1404171715015 
Diamond Platnumz akipita kwenye Red Carpet ya BET mbele ya Mapaparazi zaidi ya 200,Mwanamuziki huyu alionekana kuwavutia watu wengi na Suit yake iliyokuwa imemkaa kisawasawa ambayo waingereza wanasema  “Well Tailored Suit” By Designer Sheria Ngowi .
1404173168153
 Picha iliyotamba kwenye Blogs za marekani jana -Diamond katika Pozi la Kisheria Ngowi.
1404172805986
Hapa Mwana Muziki Neyo alimwita Diamond wakati akipita Nakumwambia Congratulation jambo ambalo lilitushangaza kuona kumbe hata wanamuziki wamarekani wamefatilia sana habari za wanamuziki waliokuwa nominated kutoka mataifa ya Africa.
DIAMOND REDCAR
Mapaparazi zaidi ya 200 walichukua every step and moments za Red Carpet wakati Diamond akipita.
1404171799869
Mwanamuziki Nelly alitushangaza pale alipomvuta koti Diamond kwa nyuma na kumwita kwa Jina,Tulishangaa sana kuona kumbe wanamuziki wa Marekani nao wanafatilia habari za African Nominees.
1404122109616
 Hapa Diamond aligeuka nakukuta aliye mvuta koti ni Nelly ambaye alimwambia congratulations.
photo 4-4
Ndani kwenye Award show Diamond na USA Manager wake  Bwana DMK wakipata Ukodaki.
20140630_022944
Picha hii ilipgwa kutika angani vile.
1404173910602
Diamond akiwa na USA Tour Manager wake Bwana DMK akifanyiwa Interview kwenye Red Carpet.
20140630_013854
Behind the Scene Diamond katika Picha ya Pamoja na DMK ambaye ndiye USA Tour Manager wake.
1404173735968
Diamond akihojiwa na XXL magazine kwenye RED Carpet pembeni yake ni USA Manager DMK.
1404174010921
Mtangazaji wa Fox Entertainment akimuhoji Diamond kwenye Red Carpet.moblog