, ,

JOKATE NA HII SKENDO KUBWA ATAJISAFISHA VIPI?? SOMA HAPA

5:25 AM


Kidoti-2
Ikiwa jina la mtangazaji maarufu wa televishen ya TV1 Jokate Mwegelo, likitajwa tena kwa mara nyingine ikiwa hivi sasa akiwa anahisiwa kuwa yeye ndiye amevunja ndoa ya mtangazaji mwenzake Edzen, katika skendo hii ambayo inasemekana kuwa Edzen Ndiye alikuwa ana-fall kwa mwanadada huyu na kuacha ndoa yake ikianguka, hatimaye Jokate avunja ukimya kuhusiana na skendo hiyo inayomkabili,
MMG28728
“Yaani watu wanapenda kuungaunga maneno kweli, jamani mimi siwezi hata siku moja kuwa na Edzen, ni mfanyakazi mwenzangu halafu Dida ni mshikaji wangu siwezi kabisa, tena wasitake kunitibulia.”- alifunguka Jokate baada ya kushindwa kuvumilia uongo uliokuwa ukizidi kushika kasi kwenye magazeti ya udaku hapa tzee. Ndoa ya Edzen na Mtangazaji maarufu wa timesFm Dida iliyodumu kwa takribani miaka miwili hivi sasa, imesemekana kuvunjika na kila mtu hivi sasa kufanya yake.
didanaezden



USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....