Wakati bunge likiendelea na kujadili bajeti mjini Dodoma, Mbunge wa Arumeru Mashariki,
Joshua Nassari yeye ameonekana yupo busy anakula raha na mke wake ambaye alifunga nae ndoa weekend iliyopita jijini Arusha.
Joshua Nassari yeye ameonekana yupo busy anakula raha na mke wake ambaye alifunga nae ndoa weekend iliyopita jijini Arusha.
Hizo ni picha ambazo Mbunge Nassari akila raha na mkewe.
DJ SEK BLOG
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments