,

PICHA ZAIDI ZA MUONEKANO WA NDANI WA MJENGO MPYAA WA NEY WA MITEGO, KWELI MZIKI UNALIPA..TAZAMA HAPA

2:43 AM





Ney Wa Mitego ni miongoni mwa wasanii waliopata mafanikio makubwa kwenye muziki na kifedha ndani ya mwaka 2013 na 2014. Muziki wake umempa show nyingi na dili za matangazo ambazo hulipa vizuri wasanii.
Kupitia Exclusive interview na sammisago, Ney wa Mitego anasema amehamia kwenye nyumba yake mpya iliyopo maeneo ya Kimara Korogwe na Inathamani ya Pesa za Tanzania Milioni Mia na Themanini.
Ney Wa Mitego anasema alianza kujenga nyumba hii toka mwaka Jana na ni miongoni mwa nyumba zake tatu, mbili bado hazijaisha.
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....