matukio,
mpya
NENO MOJA TU KWA MHESHIMIWA HAPA, ALIPONASWA NA KAMERA AKIWA NA 'KICHWENCHIDO aka KISHTOBE'
4:14 AMWanasema mjumbe hauawi, natanguliza hilikwa sababu huyu jamaa anasifika kwa kuwananii waandishi wanaomchafua. Mie simchafui ila nawasilisha tu kile nilichokikuta mahali. Mmmmh, ama kweli uzee Chalinze, Mjini kila mtu bebi. Una neno gani juu ya huyu mheshimiwa sana aliyefumwa akila vitu LAINII??? HAHAHA. MIE SIMO LAKINI
Source : Raha tupu
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
3 comments
zee zima hovyo mwili wa tembo akili ya sisimizi
ReplyDeletehana maana kabisaaa
ReplyDeleteDuh!! hii hatari sana
ReplyDelete