
Hivi sasa Shetta ameamua kufanya kweli, kama amepania flani hivi kufunika historia aliyowahi kufanya Diamond Platnumz, Katika kutimiza nia yake hiyo ya kutoka kimuziki ki-international zaidi kama alivyofanya Platnumz, ameamua kwenda hadi huko nchini Siuth Africa kuipika vyema video yake ya nyimbo ya “Kerewa” aliyomshirikisha Diamond Platnumz. Diamond alianza kufanya kweli na ku-change game zima la muziki baada ya kujitoa muhanga na kutumia mamilioni ya fweza kufanya video kali nchini humo south Africa, video ya “Mynumber1″ iliyo-make headlines sana ki-international zaidi. Ila ujio huu wa sasa wa Shetta sidhani kama atashikika kwenye ulimwengu huu wa muziki wa bongo fleva.

USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments