,

FLAVIANA MATATA, HOTTEST MODEL HAPA TZ...

2:13 AM

Sina mengi, huyu ameshafanya mengi kwa jamii, amevutia wengi kufuata nyayo zake, hana SKENDO za kutengeneza au kuwa na  makusundi ya Udaku... sijui TEAM nani...Nyota yake ilianzakung'ara tangu 2007 aliposhinda taji la Miss Universe, Tanzania na kuwakilisha nchi kwenye mashindano hayo kidunia....Huyu ni mwanamitindo mwenye mafanikio kimataifa..., Ana Asasi yake ya kusaidia jamii........Mimi namuita -A True Tanzanian beauty queen and fashion model


Jionee picha zake akiwa katika moments tofauti tofauti
 Kazini...

 GYM...

USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....