bongomovie,
mburulaz,
mpya,
wasanii
BONGOMOVIE KUMEOZA!! HADI HUYU NAE KATUPIA PICHA YA UTUPU??? AIBU SANA
11:38 AM
Koletha Raymond ‘Koletha’ amefunguka kuwa hapendi umaarufu kwa kupiga picha za utupu kama wasichana wengi walio katika tasnia ya filamu wafanyavyo.
Picha ya utupu iliyosambaa ya Mwigizaji Koletha Raymond ‘Koletha’. Koletha aliyasema hayo ikiwa ni siku chache tu baada ya mitandao kadhaa kusambaza picha ya utupu inayoonesha sehemu ya kiuno, ikidaiwa kuwa ni ya msanii huyo ambapo paparazi wetu alipomhoji kuhusiana na picha hiyo, alitiririka:“Hiyo picha siyo yangu. Mimi siwezi
hata siku moja kusaka usupastaa kwa kupiga picha za uchi, kwanza sipendi na sitaki kufanya hivyo sababu ninajiheshimu
tofauti na wenzangu wanaoendekeza mambo hayo wakati hawana kazi hata moja sokoni,” alisema Koletha
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments