Ni msanii mwenye ups and downs nyingi sana , kama unatafuta role model
hapa bongo basi muite Shilole. Alianzia kwenye movie lakini kabla ya
movie alishawahi kuuza chakula na biashara mbali mbali in order to
survive.
Shilole katika pitapita zake kwa bahati mbaya alijikuta akilazishwa
mapenzi wakati akiwa na umri mdogo sana, msanii huyo akiwa na miaka 14
tu alijikuta akiwa na mimba . “nilipata mimba nikiwa mdogo sana yani
hata maziwa ndio yanaanza sipendi kitu hiki kimtokee msichana mwengine
kwa kweli na pia kwa wale wanaume wenye tamaa plz wanapoteza future za
watu” alisema shilole.
Baada yakupata mtoto wake huyo, aliangaika nae na baadae alijikuta
akiolewa na mtu mwingine na kuweza kupata mtoto wake wa pili akiwa na
umri wa 18 na mwisho wa siku alitoka ndani ya ndoa na kuhamia Dar na
kuanza maisha upya. USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments