Huu ni Muonekano mpya wa Msanii Rose Ndauka ikiwa ni miezi kadhaa tu tangu ajifungue...Bado ni mrembo na yuko HOT kama zamani...
Hili
ni somo tosha kwa wasanii wa kike wenye tabia ya kuchomoa
mimba zao kwa kisingizio cha kupoteza mvuto baada ya kujifungua
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments