MTOTO mzuri kwenye kilinge cha Bongo Movies, Irene Paul
amefunguka kuwa kwenye suala la uhusiano, hana kipingamizi sana kwani
anachoangalia ni mtu anayempenda haijalishi dini wala kabila.
“Naangalia
tu, mtu anayenipenda ananipenda kweli au anaigiza? Nikigundua
ananipenda kweli, nampenda pia. Hata aweje huyo ndiye atakayekuwa wangu
wa maisha,” alisema Irene.SOURCE : GPL
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

0 comments