matukio,
mpya
WAAMUA KUFUNGA NDOA WAKIWA UCHI WA MNYAMA!! HII NI BALAA, SOMA STORY NZIMA HAPA
12:19 AM
Dunia haiishi mambo na vijimambo, bibi na bwana harusi waliojikita
katika kutetea haki za kupiga picha uchi, Gypsy Taub na mkewe Jaymz
Smith waishio San Francisco wamejikuta wakilia honeymoon yao lupango
baada ya kuchojoa nguo zao zote wakati wakifunga ndoa.
Kwa mujibu wa ‘The San Francisco Chronicle, bibi harusi alifika katika eneo la tukio akiwa amevaa nguo kama kawaida lakini alizichojoa zote ghafla na kubaki mtupu kama alivyozaliwa kisha akapaza sauti, “hii ni kwa ajili ya kupinga sheria zanazokataza kuwa mtupu kwa namna ambayo imekuwa katika ndoa.”
Naye mfungishaji ndoa ambaye sio kiongozi wa dini yeyote, alisema “najua watu wa San Francisco wako nyuma yangu,” na kisha kuwaambia wana ndoa hao, “sasa mnaweza ku-kiss na kufanya ngono.”
Gazeti hilo limeripoti kuwa tukio hilo lilifanyika hadharani karibu na makazi ya watu ambapo wanawake wengi na watoto walikuwa wakipita eneo hilo.
Baada ya shangwe za ndoa hiyo, maharusi walichukuliwa na gari la polisi na kupelekwa panapohusika, na ripoti zinasema walifunguliwa mashitaka kwa kosa la kujiachia watupu hadharani.
Hata hivyo wawili hao waliachiwa baadae huku tarehe za honeymoon zikiwa zimeishia selo.
Lakini waliporudi uraiani waliliambia The San Francisco Chronicle kuwa ndoa yao ilikuwa nzuri na ya kufurahisha.
“It was fantastic…it surpassed all my expectations. It was just an awesome party.” Bwana harusi Taub alijigamba.
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

0 comments