,

MCHUNGAJI ATIWA MBARONI KWA KURUBUNI WAUMIN WAKE KUWA 'UUME' WAKE UNATOA MAZIWA MATAKATIFU....SOMA HAPA

12:34 AM

Ni  kituko  ambacho  ni  vigumu  kukiamini  na  kukishuhudia  kikitendwa  na  mtumishi....

Huyu  ni  MCHUNGAJI  wa  kibrazili  ambaye  alikuwa  akiwashawishi  waumini  wa  kike  waamini  kuwa   uume  wake  una maziwa  na  kwamba  Roho  mtakatifu  humtokea  kupitia  viungo  vyake......

Kwa  kifupi  anadai  kuwa  uume  wake  umebarikiwa na Mungu ameujalia kuwa unatoa maziwa matakatifu.

Polisi  wameamua kumtia  nguvuni  kwa  udanganyifu  mkubwa mchunganji huyo ambaye amepata jina la 'Mr Penis Milk'


#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....