,

TP MAZEMBE YAMTANGAZA MBWANA SAMATTA KUWA MCHEZAJI BORA WA 2013

5:18 AM


Mbwana Samata ambaye ni mshambuliaji wa Taifa Stars amepewa kura ya kuwa mchezaji bora wa mwaka 2013 na mashabiki wa TP Mazembe. Kwenye Mtandao wao tarehe 29 waliweka hio picha hapo juu na kuandika kuwa uchaguzi wa mchezaji bora wa Golden Raven imekamilika siku chache zilizopita na kwamba Mbwana Aly Samata kaibuka na point 248.
List Iko Hapa
1.  Mbwana Aly SAMATTA 248 points
2. Salomon ASANTE 219
3.    Robert KIDIABA 200
4.    Nathan SINKALA 97
5.    Rainford KALABA  67

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....