,

KINGWENDU ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE, UNAJUA NI WAPI? SOMA HAPA

5:11 AM

Kingwendu-532
Akizungumza na mtandaowa filamucental, kingwendu  amesema kuhusu jimbo na chama atakachokitumia  kutafutia nafasi hiyo bado hawezi kuviweka wazi kwa sasa kwa kua yupo kwenye mazungumzo na washauri wake "nimejipanga  vya kutosha kuingia bungeni na niko kwenye mikakati mikubwa na washauri wangu wa mabo ya siasa wanaendelea kunipika ili niive lakini ndio hivyo  nawaomba wa Tanzania waniombee tu ili nikawawakilishe"aliuwambia mtandao huo

"kwa sasasitaki kuweka wazi chama nitakachoingia nacho bungeni jimbo  lake, lakini vuguvugu za uchaguzi zikianza tu, nitaweka wazi lakini kwa chama kinachopendwa sana na wana nchi na jimbo ntakalogombea ni hapa hapa mjini Dar aliongeza
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....