MASTAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu, Aunt Ezekiel, Kajala Masanja
pamoja na wasanii wa Bongo Fleva Chid Benz na Miraji Hussein ‘Mirror’
hivi karibuni walitinga katika jiji la Arusha kwa ajili ya
kumtambulisha msanii Mirror kwenye klabu ya Triple A.
(PICHA NA IMELDA MTEMA / GPL, ARUSHA)
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments