DOCUMENT YA WOSIA ALOACHA MAREHEMU NELSON MANDELA YAPATIKANA, UNAWEZA KUISOMA HAPA

10:37 AM

 

Ni miezi kadhaa sasa imepita tangu Mpigania haki za watu weusi na kiongozi wa kwanza muafrika wa Africa Kusini mzee Nelson Mandela (Madiba, Tata)atutoke. Kulikuwa na utata kuhusu mali pamoja na mambo mengine ya urithi kuwa nani atashikilia. Utata huo umewekwa wazi sasa na kila raia kwa sasa atakuwa ameujua ukweli wa jambo hili baada ya waraka wake wa urithi kusambaa katika mitandao ya kijamii. Kwa kifupi tu inasemekana alikuwa na hazina ya pesa zaidi ya dolla za kimarekani 4,000,000 (milioni nne). Sasa kuhusu nani atamiliki pesa pamoja na mali zingine kama mashamba na majumba unaweza kubofya hii link hapa chini
 >>>>>>>>>>>>>>>>BOFYA HAPA KUSOMA WOSIA HUO<<<<<<<<<<<<<<<<<<<

 #SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....