,

MMMH!! HUYU MSANII SIJUI ALIMAANISHA NINI KUPOST HIZI PICHA....ZITAZAME HAPA

9:07 AM

AKILIWA "DENDA" NA MSANII WA BONGO FLEVA LUTEN KARAMA..!! TAZAMA PICHA HAPA


Msanii wa maigizo na mwanamziki Bela Fasta aliyekuwa anaunda kundi la muziki wa Bongo fleva la Scopion girls lilokuwa na memba watatu ambao ni Jack wa Chuz, Jini Kabula na Bela Fasta hivi majuzi kati aliamua kuachia picha mtandaoni akiwa analiwa DENDA na msanii aliyekuwa kundi la wanaume family Luten Karama ambaye inadaiwa wapo kwenye mapenzi mazito kupitiliza.

Bela aliamua kufanya hivyo ili kuiambia jamii kuwa sasa yeye ni mpenzi wa mtu na hiki ndicho anachofaidi katika mapenzi yake.

Tazama picha hizo hapa chini


CREDIT=SWAHILI TZ
- See more at: http://onelovetz.blogspot.com/2014/02/msanii-wa-bongo-movie-aamua-kuachia.html?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+blogspot%2FhgdRs+%28Onelove+Tz%29#sthash.hWI2uYgX.dpuf
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....